Hujambo!

Jina langu ni Jowan

Ninaongea Kiswahili kidogo tu. Ninatoka nchi ya Uingereza.

Natumai u mzima. Natumai familia yako iko vizuri. Natumai marafiki wako wa afya pia. Jina langu ni Jowan. Ninaishi nusu kilomita kutoka baharini huko Uingereza. Mji wangu una idadi ya watu elfu ishirini. Wakati sipo shuleni nimetembelea Ulaya na China na Dubai na Scotland. Ningependa kuona Afrika.